Makambi haya yalipambwa na matukio mbali mbali yakiongozwa na waimbaji wa Nyakato Mwanza ambao walikuwa ni wageni wa makambi haya ya Mtaa wa Tanga.
|
HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA. |
|
MWENYEKITI WA KANISA LA WASABATO TANZANIA AKIONGEA NA MWENYEKITI WA NETCO. |
|
HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA. |
|
HIVI NDIVYO LIVYIKUWA PF WAKIONGOZA GWARIDE SIKU YA ALHAMISI TAR.24/07/2013 |
Categories:
0 maoni:
Chapisha Maoni