Posted by Unknown
On 06:28
Mtaa wa kurasini unaundwa na makanisa 3,yaani KIJICHI,KURASINI na
MTONI na makambi haya ya mwaka huu yamefanyika katika viwanja vya chuo
cha TIA hapa jijini DAR ES SALAAM..
MOTO WA KAMBI:"NAYAWEZA MAMBO YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU FILIPI 4:13"
WIMBO MKUU:NI WIMBO NAMBA 107 KATIKA KITABU CHA KRISTO USEMAO "SAUTI NI YAKE BWANA"
Leo
ni siku ya mwisho wa makambi ya mtaa huu ambayo yalianza jumapili
ilyopita ambapo kulikuwa pia na uzinduzi wa kwaya ya MSHIKAMANO TOKA
MEATU-SIMIYU,kwaya hii pia ilhudumu katika makambi haya kwa muda huu wa
siku saba,na leo watakuwa wanaaga na kurudi kwao.....
SOURCE: WWW.injilileo.blogspot.com
|
Hii ni kwaya ya MSHIKAMANO kutoka MEATU SIMIYU wakiimba katika huduma ya makambi ya mtaa wa KURASINI |
|
Kwaya ya KURASINI wakifatilia kile kinachojili katika makambi ya mtaa wa KURASINI |
Categories:
0 maoni:
Chapisha Maoni