Jumapili, 14 Julai 2013

Leo ni ijumaa nyingine ambapo tuna kundi la VOCAPELLA wakiwa na nyimbo kama vile "SAVED" na "TUMWIMBIENI BWANA".Vipindi hivi huletwa na uongozi wa kanisa la waadventista wasabato MAGOMENI lililopo MWEMBE CHAI DAR ES SALAAM..

Waimbaji toka kila kona ya nchi na dunia kw ujumla wanaalikwa kuja mahali hapa kwa huduma ya uimbaji na programs mbalimbali......

VOCAPELLA wakiwa katika huduma ya uimbaji hapa MAGOMENI SDA CHURCH....

waimbaji toka kanisa la TEMEKE SDA CHURCH,VOCAPELLA wakiimba wakati wa huduma ya kufungua sabato hapa MAGOMENI SDA CHRCH

 

washiriki wa kanisa na wageni toka kila kona ya nchi wakifatilia huduma zinzoletwa na wahusika

>>>>>KUMBUKA  ni kila IJUMAA saa 12:00 JION HADI sa

Categories:

0 maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...