ACACIA SING’ERS:Baada ya kimya cha muda mrefu sasa Tunayo nafasi nyingine mwaka huu kwa idadi yetu ya mamilioni ya watanzania Mbele yetu tunayo fursa ya kuthibitisha kwa vitendo, ACACIA SING’ERS wanatuletea uzinduzi wa Album yao mpya inayoitwa MSIKOSE.
VIDEO HAPO CHINI NI MOJA YA NYIMBO ZILIZOPO KATIKA ALBUM NAMBA TATU ITAKAYOZINDULIWA JULY 28. KWA MAELEZO ZAIDI +255 787 100 300.
ACACIA SNG'ERS wakiwa katika picha ya pamoja
Itakuwa ni tarehe 28/07/13 kuanzia saa6 mchana katika ukumbi wa CITY CHRISTIAN CENTRE uliopo UPANGA, Dar- es-salaam mkabala na chuo kikuu cha mzumbe
Siku hiyo itakuwa ni ya aina yake kwani tunaweza kabisa kuifanyia mabadiliko makubwa sana sio tu nchi yetu bali ni ili kuleta tija katika kila sekta ya uimbaji wa nyimbo za injili.
Naam, unayo nafasi. jiunge na wenye nia hiyo kushuhudia makundi na waimbaji mbalimbali kutakuwa na makundi ya mziki wa Injili kama vile:
1. The golden gate - toka kampala UG
2. Tanzania Triumph-generation - D'salaam
3. Mashujaa wa Yesu
4. Family singers
5. The voice,Caanan brothers
6. Pamoja na Remnant Generation
KIINGILIO HAKIZIDI WALA KUPUNGUA ELFU TANO
Sikiliza;
Kipindi cha sasa kimeyaona mabadiliko makuu katika dhana ya hali ya binadamu. Je, umewahi kusikia wimbo wa punda na mwanapunda? siku hiyo utaimbwa na watu wote ukumbini. Mbele yetu ipo nafasi ya kufanya maamuzi nyeti.
Categories:
0 maoni:
Chapisha Maoni