Alhamisi, 18 Julai 2013

Ni katika siku maalumu ya VIJANA kanisani KIMARA SDA ambapo kulikuwa na programs nyingi zilizoletwa na vijana wa kanisa la KIMARA...

Programs hizi ni baadhi ya zile zilizokuwa huko ARUSHA katika makambi ya vijana yaliyofanyika JUNE,2013....

hapa wakiimba wimbo usemao ''KRISTO ANATUWEKA HURU"

SAUTI YA KWANZA NA SAUTI YA TATU WA KWAYA YA KIMARA CHURCH

SAUTI YA PILI NA SAUTI YA NNE WA KWAYA KIMARA SDA CHURCH


Categories:

0 maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...