Jumanne, 30 Julai 2013

Makambi haya yalipambwa na matukio mbali mbali yakiongozwa na waimbaji wa Nyakato Mwanza ambao walikuwa ni wageni wa makambi haya ya Mtaa wa Tanga.

HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

MWENYEKITI WA KANISA LA WASABATO TANZANIA AKIONGEA NA MWENYEKITI WA NETCO.

HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

HIVI NDIVYO LIVYIKUWA PF WAKIONGOZA GWARIDE SIKU YA ALHAMISI TAR.24/07/2013

Categories:

0 maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...