Jumanne, 30 Julai 2013

MAKAMBI HAYA YALIPAMBWA NA MATUKIO MBALI MBALI YAKIONGOZWA NA WAIMBAJI WA NYAKATO MWANZA AMBAO WALIKUWA NI WAGENI WA MAKAMBI HAYA YA MTAA WA TANGA.

  • HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

  • MWENYEKITI WA KANISA LA WASABATO TANZANIA AKIONGEA NA MWENYEKITI WA NETCO.

  • HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

  • HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA PF WAKIONGOZA GWARIDE SIKU YA ALHAMISI TAR.24/07/2013

Categories:

0 maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...