ACACIA SINGERS

WAIMBAJI TOKA MWENGE SDA CHURCH SIKU YA TAREHE 28 JUNE,2013 WATAKUWA NA UZINDUZI WA ALBUM YAO MPYA IKIITWA 'MSIKOSE'

scroll

NEW JERUSALEM BROTHERS:NI VIJANA TOKA TABATA KIMANGA SDA CHURCH WAKIIMBA NYIMBO ZA INJILI KWA MTINDO WA ACAPELLA ...

THE VOICE

WAIMBAJI HAWA TOKA TANZANIA KWA SASA WAN ALBUM INAYOITWA "TUTASHANGILIA" ...

KURASINI SDA CHOIR

WAIMBAJI WA KURASINI TOKA KURASINI DAR ES SALAAM WANAMAKAMBI YANAYOENDELEA " "MAENEO YA VIWANJA VYA SABASABA" ...

scroll

Jumanne, 30 Julai 2013

MAKAMBI HAYA YALIPAMBWA NA MATUKIO MBALI MBALI YAKIONGOZWA NA WAIMBAJI WA NYAKATO MWANZA AMBAO WALIKUWA NI WAGENI WA MAKAMBI HAYA YA MTAA WA TANGA.

  • HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

  • MWENYEKITI WA KANISA LA WASABATO TANZANIA AKIONGEA NA MWENYEKITI WA NETCO.

  • HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

  • HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA PF WAKIONGOZA GWARIDE SIKU YA ALHAMISI TAR.24/07/2013

Makambi haya yalipambwa na matukio mbali mbali yakiongozwa na waimbaji wa Nyakato Mwanza ambao walikuwa ni wageni wa makambi haya ya Mtaa wa Tanga.

HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

MWENYEKITI WA KANISA LA WASABATO TANZANIA AKIONGEA NA MWENYEKITI WA NETCO.

HUU NI MSAFARA KWENDA KUWEKA JIWE LA MSINGI KANISA LA KANA NA HAPO WAMETOKA KUWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA KANISA LA KANA.

HIVI NDIVYO LIVYIKUWA PF WAKIONGOZA GWARIDE SIKU YA ALHAMISI TAR.24/07/2013

Ijumaa, 26 Julai 2013

Waimbaji wa Mtaa wa KANA - TANGA wakiwa katika ibada ya pamoja

MTAA WA MAKORORA WAKIWA KATIKA IBADA YA PAMOJA KATIKA VIWANJA VYA KANIASA LA DONGE SDA. 

KWAYA RASMI ILIKUWA KANA KUTOKA MTAA WA TANGA.

MTAA WA MAKORORA WAKIWA KATIKA IBADA YA PAMOJA KATIKA VIWANJA VYA KANIASA LA DONGE SDA. 

KWAYA RASMI ILIKUWA KANA KUTOKA MTAA WA TANGA.

1. Sehemu ambapo mkutano wa makambi ya Mtaa wa Kana - Tanga yanaendelea

2. Kwaya ya  NYAKATO wakiwa wameshuka kwenye gari wakitokea MWANZA.
    
KWAYA YA GOLDEN GATE KUTOKA UGANDA WATAKUWA KATIKA CAMP MEETING HAPO MWENGE WAKISHIRIKIANA NA ACACIA SINGERS 

TAREHE 28/07/2013 

 KARIBU TUFURAHI PAMOJA  KUMTUKUZA MUNGU KWA NJIA YA NYIMBO.

Kwaya ya Golden Gate wakimtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...